Come listen to our presenters from the RCMP to learn about personal safety issues, including:
- Driver safety on the road
- Safety trips as a pedestrian
- What to do if you’re the victim of an assault or robbery
- How to call 9-1-1 and access other support
Njoo uwasikilze watoa maada wetu kutoka RCMP ujifunze kuhusu maswala ya kujilinda, ikiwa ni pamoja na:
- Usalama wa dereva barabarani
- Vidokezo vya usalama wa watembea kwa mguu
- Nini cha kufanya ukiwa mhanga wa shambulio au ujambazi
- Jinsi ya kuita 9-1-1na upatikanaji wa huduma zingine
Wednesday, July 21, 2021 / Jumatano, julai 21, 2021
1-2:30 pm, Online via Zoom / mtandaoni kutumia Zoom
Saa 7 hadi 8:30 mchana
Who’s eligible? / Nani ansitahiki?
- Permanent residents / Wakazi wa kudumu
- Refugees / Wakimbizi
- Protected persons / Watu waliolindwa